Picha:Zari ajianda kumpokea mtoto kwa Baby shower


Zarina Hasan a.k.a Zarithebosslady kama mwenyewe anavojiita amefanya Baby shower kwaajili ya kujiandaa kumpokea mtoto wake.

Huyo atakuwa ni mtoto wake wa tano ila itakuwa ni wapili kutoka kwa Diamond platinum baada ya Tiffa.

Watoto wengine watatu alizaa na aliyekuwa boyfriend wake wa zamani anaejulikana kama Ivan.

kuonyesha kuwa na furaha kumpokea mtoto wake aliyeko tumboni amefanya bby shower akiwa na marafiki zake pamoja na mama yake mzazi.

Izi ni baadhi ya picha zake.






Maoni