Baada ya kumficha kwa muda mrefu AY amwonyesha mpenzi wake.



Tukiwa tumebakiza siku chache kabla ya kumaliza mwaka,Leo tarehe 27 Mkongwe wa Bongo flava Ambwene Yesaya amemtambukisha rasmi mpenzi wake aliyemficha kwa miaka nane.

Hii si kawaida kwa mtu kama AY kufanya kitu kama icho kwani anasifika kuwa nimiongoni mwa watu maarufu ambao hawapendi kuweka mahusiano yao kwenye public.

Si kila mtu anapenda kuona watu wakipendana ndo maana watu maarufu huwa hawapendi kuweka mahusiano yso kwenye public.

Ila leo kupitia Instagram AY amempost mchumba wake huyo na kuonyesha kuwa leo ndo birthday yake kwahiyo kama kamuwish ivi.

Kama unataka kumjua zaidi nafikiri picha izi zinakuhusu.







Maoni