China yatengeneza meli inayofanana na Titanic


Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na wolff huko Belfast iligonga mwamba wa barafu na kuzama kaskazini mwa atlantic mwaka 1912 na kusababisha vifo vya watu1,500 ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York.

Ikiwa imepita miaka mia na nne(104) tangu meli hiyo kuzama.Nchi ya China wameamua kutengeneza meli inayofanana na Titanic,Meli hiyo itakuwa na urefu wa kina cha mita 269.

Meli hiyo itakuwa na vivutio vingi,kutakuwa na sehemu ya michezo,maonesho,sehemu za kuogelea pia inasemekana WIFI pia itapatikana ndani ya meli hiyo.

Hizi ni baadhi ya picha za meli hiyo.





Maoni