Diego Costa atemwa kwenye kikosi


Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu hiyo ambayo kinajiandaa kuumana na klabu ya Leicester City wikiend.

Chanzo kinatajwa kurushiana maneno na kocha wake Antonio Conte wakiwa mazoezini baada ya kugomea mpangilio wa mazoezi wa fitness coach.

Taarifa nyengine zinaeleza Costa anataka kuondoka kuelekea China ambapo amepata dili ya kulipwa paundi 570,

Maoni