Kiungo Morgan Scheneiderlin hatimaye amejiunga na klabu ya Everton,akitokea Manchester United kwa ada ya paundi 20 ambayo itapanda hadi psundi millioni 24
Mfaransa huyo ambae ana umri wa miaka 27,amesaini mkataba wa miaka minne na nusu ambao utamalizika mwaka 2021.
Schneiderlin ameungana na kocha wake wa Zamani Ronald Koeman.






Maoni
Chapisha Maoni